KIJANA Ben Boleyn aliamua kuvua nguo baada ya kufika kwenye kilele
cha Mlima Kilimanjaro nchini chenye joto la kati ya sentigrade 10 hadi
12.
Ben alifanya hivyo baada ya kuwekeana dau la shilingi 500 na mwenzake miongoni mwa aliopanda nao mlima huo.
Kijana huyo mwenye miaka 18 alipanda mlima huo katika kuchangisha
fedha kusaidia watoto wa kituo cha kulea watoto cha Acorns
↧