Habari kutoka mkoani Arusha zinaarufu kuwa msichana mmoja wa kazi ( hausigeli) ameungua na kuharibika vibaya sehemu zake za siri baada ya kuchomwa moto na bosi wake....
Kwa mujibu wa mtu aliyetutumia picha za tukio hilo, Binti huyo anadaiwa kuchomwa moto baada ya kukojoa kitandani usiku akiwa amelala.
Tunaendelea kupekua undani wa tukio
↧