Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt Jakaya Mrisho
Kikwete, amemteua Ndugu Ali Idi siwa kuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Kigali, nchini Rwanda.
Uteuzihuo umefanyika kufuatia kuwepo kwa nafasi wazi iliyoachwa na
Balozi Dkt Mwita Marwa Matiko ambaye amestaafu kwa mujibu wa Sheria.
Ndugu Ali Siwa amekuwa katika utumishi wa umma tangu mwaka 1977 na uweza
↧