Gwiji la
muziki wa kizazi kipya, Alikiba, alitoa burudani ya nguvu kwa Wanatanga kwa
wimbo wake mpya-Mwana Dar es salaam- usiku wa Serengeti Fiesta Tanga,
katika viwanja vya Mkwakwani jinjini Tanga, hali iliyomfanya alazimishwe na mashabiki hao kuurudia wimbo huo mara 10 zaidi.
Akiwa
jukwaani, Alikiba alilazimika kuuruduia wimbo huo kwa zaidi ya mara 10
kwani pindi
↧