Taarifa zinaarifu kwamba kati ya
Wagonjwa nane waliokutwa na Ebola huko Congo DRC, wawili kati yao
wamefariki dunia.
Taarifa hizi zimeendelea kuwashtua na kuwafanya majirani kuzingatia
tahadhari ambapo mkuu wa mkoa wa Kigoma Issa Machibya amesema:
"Pamoja na
tishio la ugonjwa huu kwamba uko DRC Congo (DRC ya mbali sana
kule kaskazini wanakopakana na Afrika ya kati na Sudan),
↧