Wasanii wa Tanzania, Diamond Platinumz na Dabo (wa Dancehall)
wametajwa kuwania tuzo za IRAMWA (International Reggae and World Music
Awards), Marekani.
Wimbo wa MdogoMdogo wa Diamond umemuwezesha kutajwa kuwania tuzo hizo
katika kipengele cha The Best African Song/Entertainer akichuana na
Davido (Aye), Awilo Longomba (Bendeke), Willy Paul Msafi (Tam Tam), Eddy
Kenzo (Sittya Loss),
↧