RAIS Jakaya Kikwete amesema yupo tayari kukutana na viongozi wa Umoja
wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), ili kunusuru mchakato wa Katiba mpya.
Kauli hiyo ya Rais Kikwete imekuja siku chache baada ya baadhi ya
viongozi wa vyama vya upinzani kupinga hatua ya Chama Cha Mapinduzi
(CCM), kumtuma Katibu Mkuu wake, Abdulrahman Kinana, kusaka suluhu na
viongozi wa Ukawa.
Akizungumza na
↧