Mmoja wa raia wa Ethiopia waliokamatwa kwenye msitu wilayani Bagamoyo wakituhumiwa kuwa wahamiaji haramu na kulazwa hospitalini kutokana na matatizo ya afya, amefariki akipatiwa matibabu.
Dawita Alalo (25) ambaye alikuwa miongoni mwa wahamiaji haramu 11 waliolazwa kwenye kituo cha afya cha Chalinze, wilayani Bagamoyo, alifariki juzi kwa ugonjwa wa malaria.
Kaimu Kamanda wa Polisi
↧