Ofisi ya Bunge Maalumu la Katiba mjini Dodoma, imefafanua juu ya kuchelewa kwa posho wa wajumbe wa bunge hilo, ikisema zilichelewa kutokana na sababu za kiutaratibu wa fedha na kwamba kwa sasa hakuna mjumbe anayedai posho.
Ufafanuzi huo ulitolewa jana na Mkurugenzi wa Habari na Itifaki wa Bunge, Jossey Mwakasyuka.
Alisema taarifa hizo ni za upotoshaji na zina lengo la kuwadhalilisha
↧