Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa ameungana na Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi, kuunga mkono mapendekezo ya Sheria ya Mgongano wa Maslahi.
Akizungumza jana wakati akifungua kikao cha kujadili mapendekezo ya kutungwa kwa sheria hiyo, Mkapa alisema mtumishi au kiongozi anayedhani kuwa sheria hiyo ni kandamizi, huenda akawa na tatizo la kutumia vibaya
↧