Msanii wa muziki Tiwa Savage kutoka nchini Nigeria ameweka wazi kuwa,
amewahi kukumbana na changamoto kubwa ya kuonewa na wenzake kipindi
akiwa mtoto, kutokana na asili yake ya uafrika.
Tiwa amesema kuwa, alikabiliana na changamoto hii akiwa shuleni wakati walipokuwa wakiishi Jijini London, rangi na lafudhi yake ya kinaijeria vikiwa ni vitu ambavyo vilimfanya aonekane tofauti na
↧