Watu saba wamekamatwa Jijini Arusha kwa tuhuma za kuhusika kwenye mauaji ya unyang’anyi wa kutumia silaha kwa wanawake.
Wanadaiwa pia kusababisha kifo cha mtoto, Christen Nickos mwenye umri wa miaka mitatu na nusu mkazi wa Olasiti hapa.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas alisema watu wawili kati ya saba ambao
↧