Wadau wengi wamepongeza hatua ya Rais Jakaya Kikwete kukubali kukutana
na viongozi wa vyama vya siasa wakiwamo wanaounda Umoja wa Katiba ya
Wananchi (Ukawa) kwa lengo la kunusuru mchakato wa Katiba mpya.
Abubakar Kapera, mkazi wa Kata ya Nyamanoro jijini Mwanza, alisema
uamuzi wa Kikwete ni mzuri wa kukubali kukutana na kuzungumza na Ukawa,
lakini hatua hiyo imechelewa.
“Amechukua
↧