Rais Jakaya Kikwete anatarajia kufanya ziara mkoani Dodoma ambako
atazindua miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwamo ya barabara, maji na
kulihutubia Taifa kwa kuongea na wazee.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Dk.
Rehema Nchimbi, alisema Rais ataanza ziara mwishoni mwa wiki hii
kulihutubia Taifa mwishoni mwa mwezi huu Jumapili ijayo.
Kwa mujibu wa
↧