Mrithi wa Rais Jakaya Kikwete, atakayepatikana baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwakani, ameanza kuandaliwa makao yake Ikulu, yatakayomwezesha si tu kuwa Rais wa Kwanza wa Tanzania tajiri, bali pia kuanza kazi bila viporo vya miradi ya maendeleo ya Serikali ya Awamu ya Nne.
Tayari, Rais Kikwete ameshatangaza azma yake ya kutaka kuwa Rais wa mwisho wa Tanzania masikini na katika tangazo hilo
↧