Quantcast
Channel: MPEKUZI
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live

Rais Kikwete Amwandalia Njia Safi Rais Ajaye

Mrithi wa Rais Jakaya Kikwete, atakayepatikana baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwakani, ameanza kuandaliwa makao yake Ikulu, yatakayomwezesha si tu kuwa Rais wa Kwanza wa Tanzania tajiri, bali pia kuanza...

View Article


Shahidi Aelezea jinsi Alivyofanyishwa Mapenzi na Mganga wa Jadi

Shahidi wa pili katika kesi ya kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu inayomkabili mganga wa kienyeji, Yahaya Michael (34) ameieleza Mahakama ya Wilaya ya Ilala jinsi alivyoingiliwa kimwili na mganga...

View Article


Kesi ya Trafiki Feki Yaahirishwa tena

Mahakama ya Wilaya ya Ilala, imeendelea kupiga kalenda kesi ya aliyejifanya askari wa Usalama Barabarani, Jemes Hassan (45) kutokana na mshitakiwa huyo kuumwa.   Akiahirisha kesi hiyo jana, Hakimu...

View Article

Mahakama ya Kadhi yaibua mjadala mzito....Wajumbe Washauri Isiingizwe kwenye...

Suala la Mahakama ya Kadhi limeleta mjadala mkali katika majadiliano na wabunge wameamua suala hilo lisiingizwe kwenye Katiba.    Mjadala huo mkali uliibuka katika Kamati namba Saba ilipojadili sura...

View Article

Video Mpya: Prokoto- Victoria Kimani Feat. Diamond & Ommy Dimpoz

Victoria Kimani ameachia video ya ‘Prokoto’ akiwa na wakali wa Bongo Flava, Diamond Platinumz na Ommy Dimpoz. Imeongozwa na Kevin Bosco Jnr. Itazame  hapo  chini

View Article


Mtuhumiwa Kinara wa Mauaji ya Wanawake jijiini Arusha Anaswa na jeshi la polisi

Mtu mmoja ambaye inadaiwa kinara wa kuua na kujeruhi wanawake maarufu, wafanyabiashara na wenye vyeo katika ofisi mbalimbali jijini Arusha, Adamu Mussa (30) mkazi wa Majengo Juu jijini Arusha ametiwa...

View Article

Mhehimiwa Temba kuachia ngoma mpya Jumamosi hii.....Serengeti fiesta Moshi...

Mhehimiwa Temba ametangaza rasmi kuachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la “Wazee wa jiji” jumamosi hii. Serengeti fiesta Moshi wamepewa fursa ya kuonja radha ya wimbo huo siku ya Jumamosi...

View Article

Tamko la Serikali: Waombaji Ajira wazingatie taratibu

Serikali ya Tanzania imewataka waombaji wa kazi kuzingatia taratibu zinazotakiwa katika kuwasilisha maombi ili kuepuka usumbufu unaoweza kujitokeza kutokana na kuwepo wa tatizo la kuwasilisha nyaraka...

View Article


Baba yake Beyonce afichua siri ya tetesi za talaka kati ya Jay Z na...

Baba yake Beyonce Knowles, Mzee Mattew Knowles amefichua siri ya kuwepo ripoti kuwa mwanae anataka kuachana na Jay Z huku akigusia pia kuhusu kilichosababisha ugonvi kati ya Solange na Jay ndani ya...

View Article


Kondom za MALAYA wa Morogoro zawaathiri watoto.... Mkuu wa Mkoa anawa mikono,...

Biashara ya ngono iliyokithiri katika mji wa Morogoro imegeuka kuwa kero kwa wakaazi wa eneo hilo na familia zao hali inayowaweka hatarini zaidi watoto wadogo wasio na hatia wanaokutana na kondom...

View Article

Mkurugenzi wa Airtel Tanzania ajimwagia maji ya barafu kujiunga na kampeni ya...

Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Airtel Tanzania, Sunil Colaso amejimwagia maji ya barafu kuashiria kampuni yake kujiunga na kampeni iliyoanzishwa na Vodacom kuchangia matibabu na elimu kuhusu...

View Article

Umeisoma ripoti ya leo kuhusu chai na chakula kwenye bunge la...

Gazeti la Mtanzania August 28 2014 ndio limeripoti hii stori kuhusu Bunge la Katiba linaloendelea Dodoma, kikubwa ni gharama mbalimbali zinazotumiwa na Wajumbe.  Wameandika bunge la katiba lateketeza...

View Article

Kesi ya kupinga bunge maalum la katiba yapangiwa jopo la majaji watatu

Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam imeanza mchakato wa kusikiliza kesi dhidi ya Bunge la Katiba baada ya kupanga jopo la majaji wa kuisikiliza.   Kesi hiyo namba 28 ya 2014, ilifunguliwa mahakamani...

View Article


SMS za Usagaji za Aunt Lulu Zanaswa.....Zilikuwa zinaenda kwa binti wa kidato...

Mama mmoja mkazi wa Sinza jijini Dar es Salaam, aliyejitambulisha kwa jina la Mama Zahara, ameibuka na madai mazito akimtuhumu msanii wa filamu ambaye pia ni mjasiriamali, Lulu Mathias Semagongo ‘Anti...

View Article

Mbowe: Mimi ni Kisiki cha CHADEMA.....Ajitosa rasmi kugombea Uenyekiti wa...

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe jana alikabidhiwa fomu na makada wa chama hicho na kumtaka awanie tena kiti hicho, ombi ambalo alilikubali na kufungua milango...

View Article


Aliyehisiwa kufa kwa ebola azua mjadala Geita....Alikuwa anatapika na kuhara...

Utata umegubika kifo cha Bertha Boniface (25) ambaye amefia Hospitali ya Wilaya Geita, kutokana na uvumi kuwa kifo chake kinatokana na ugonjwa wa ebola. Hata hivyo, madai hayo yamekanushwa na uongozi...

View Article

Mkurugenzi TBS Atupwa Gerezan

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu kifungo cha mwaka mmoja jela Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Charles Ekelege na kumwamuru kurejesha Dola za Marekani 42,543...

View Article


Pochi Yamuokoa Kajala Masanja kukaa nusu Uchi

Msanii wa filamu, Kajala Masanja, hivi karibuni alijikuta akiwa kwenye wakati mgumu baada ya kukaa kwenye kiti na kuachia sehemu zake nyeti kiasi cha kuwatoa udenda baadhi ya wanaume. Tukio hilo...

View Article

Polisi amgonga mtoto, Atoka nduki na kutelekeza gari

Polisi mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara moja, aliyekuwa akiendesha gari kwa mwendo wa kasi, Jumapili iliyopita alimgonga mtoto wa kike, Zahara Almeda katika barabara ya Mji Mpya  mkoani...

View Article

Ajinyonga shambani na kuacha ujumbe; “Nawaachia dunia yenu muishi miaka 110”

Mtu mmoja ambaye hakujulikana jina, amekutwa akiwa amejinyonga ndani ya kibanda shambani huku akiwa na karatasi iliyoandikwa ujumbe “Nawaachia dunia yenu muishi miaka 110”.    Mwenyekiti wa Kijiji cha...

View Article
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>