Nuh Mziwanda wa Shilole alikopi kwa Nick Cannon na Mariah Carey? ( Cannon ana...
Mwimbaji wa Bongo Flava, Nuh Mziwanda aliwashitua wengi baada ya kujichora tattoo yenye jina la mpenzi wake ‘Shilole’, tattoo ambayo haifutiki daima. Kitu ambacho kiliwashitua wengi. “Mimi nimefanya...
View ArticleSitta Awajibu Wanaofananisha Tume Ya Warioba na Bunge la Katiba
Baada ya watu na taasisi kadhaa kudai kitendo cha Bunge Maalumu la Katiba kupokea maoni ya wananchi na kuyaongeza kwenye rasimu ya Katiba mpya, ni kuingilia kazi ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba,...
View ArticleRais Kikwete Anena: ...."Kuinua Maisha ya Watanzania Sio Kumwaga Fedha Mifukoni"
Rais Jakaya Kikwete amesema dhamira ya Serikali ni kuinua maisha ya Watanzania na dhamira hiyo iko pale pale na kwamba wanaofikiri nia hiyo ni kuwajaza wao fedha mifukoni uwezo huo haupo. Rais...
View ArticlePenzi la Mainda Lagombewa na Wanaume
Staa wa Filamu za Kibongo aliyeamua kumpokea Yesu, Ruth Suka 'Mainda' amesema amekuwa akipata wakati mgumu kumjua mwanaume wa kweli ni yupi ambaye anaweza kumuoa na ndoa yake...
View ArticleAjali Yaua Watu 10 na kujeruhi 7 Mbalizi mkoani Mbeya
Daladala lenye namba za usajili T 237 BFB aina Toyota Hiace baada ya kuparamia lori. Lori lenye namba za usajili T 158 CSV lililoparamiwa na daladala. Askari wa usalama wa barabarani akiwa anatazama...
View ArticleUchumba wa Agness Masogange Watibuliwa
SIKU chache baada ya kupata uraia wa Afrika Kusini, uchumba wa Video Queen, Agnes Gerald ‘Masogange’ na mpenzi wake, Louis Dolnard umetibuliwa. Hali hiyo ilijiri kutokana na madai kuwa kuna wanaume...
View ArticleBabu wa Miaka 90 ateketea kwa moto Akiwa Usingizini
Mkazi wa Kimara Temboni, Felix Makundi (90) amekufa papo hapo baada ya kuteketea kwa moto wakati akiwa amelala. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura alisema kuwa mzee huyo...
View ArticleRais Kikwete Atoa Onyo kwa Viongozi MADALALI wa Ardhi
Rais Jakaya Kikwete amewaonya viongozi wa ngazi mbalimbali nchini, wakiwemo wa Halmashauri kuacha mara moja tabia ya kujigeuza kuwa madalali wa kuuza mapori ya ardhi, bali wazingatie suala la umuhimu...
View ArticleDiva na Aunt Ezekiel Washikana Mashati kisa Ujauzito wa Aunt anaodaiwa kupewa...
Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson amemvaa prizenta wa Kipindi cha Ala za Roho cha Redio Clouds FM, Lovennes Malinzi ‘Diva’ kwa madai kwamba amemtangaza mitandaoni kuwa amepachikwa...
View ArticleUraia Pacha Wabezwa Bunge Maalumu la Katiba
Suala la uraia pacha limeonekana ‘kupigwa chini’ na serikali na wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba baada ya wote kukubaliana zaidi juu ya hasara za kuruhusu uraia huo, ikiwemo hofu ya usalama wa taifa...
View ArticleMajambazi Yabaka Mwalimu....Mwingine Aporwa milioni 20
Watu wanaosadikiwa kuwa majambazi wamemteka na kumvamia mwalimu mmoja na kumpora kiasi cha zaidi ya Sh milioni 20 na kisha kumbaka mwalimu mwingine wa kike katika kijiji cha Nassa Ginery wilayani...
View ArticleRais Kikwete kukutana na UKAWA Leo Jioni mkoani Dodoma.....Makanisa yatoa Onyo
Wakati Rais Jakaya Kikwete akikutana na viongozi wa vyama vya siasa vinavyounda Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) ili kuzungumzia mchakato wa Katiba, Jukwaa la Wakristo Tanzania (TCF), limesema...
View ArticleWaziri Mkuu, Mizengo Pinda Awatoroka Waandishi wa habari
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda jana alilazimika kutumia mlango wa uani kuondokea badala ya ule mkuu kwa kile kinachohisiwa kuwakwepa waandishi wa habari waliokuwa wakifuatilia ufunguzi wa mkutano wa...
View ArticleMgombea urais 2015 atinga Vatican kwa nia ya kutafuta uungwaji mkono wa...
WAKATI joto la uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 likiendelea kupanda miongoni mwa makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaohusishwa na harakati za kuwania urais, mmoja wa makada hao amekwenda Vatican kwa...
View ArticleREMIX: Nick Minaj AJAMBA VIBAYA Kwenye video yake ya ANACONDA.....Bofya hapa...
Video ya Nicki Minaji ambayo ni booty-shaking imefanyiwa cheeky remix ikiwa na addition ya sauti ya kujamba aka ushuzi!!!. Team ya comedy ya South Africa and the Sunday Blues wali-share ngoma hiyo...
View ArticleSerengeti Super Nyota Divaz Moshi yampata Sia Mary kama mwakilishi wao.
Mashindano ya serengeti Super Nyota Divaz ambayo ni sehemu ya wasanii wachanga au vipaji vipya kuonekana kwa mikoani hasa upande wa wakina dada ambao wamekua wakiikosa fursa ya kuonekana yamemalizika...
View ArticleMajambazi Watano Wauawa kwa Kuzamishwa kwenye Maji
Watu watano wanaosadikiwa kuwa majambazi, wamepigwa kwa mawe hadi kufa wakijaribu kutoroka nguvu za umma kwa kutumia Mto Mara, wilayani Tarime huku wakiwa na bunduki mbili zinazotumika vitani aina ya...
View ArticleBinti Mdogo toka Mtwara Ashinda milioni 50 za Shindano la TMT
Mshiriki kutoka Mtwara, Mwanaafa Mwinzago ameibuka kidedea katika Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam....
View ArticleLicha ya skendo, Flora Mbasha Aibuka na Jipya tena
Msanii wa muziki Florah Mbasha, Baada ya kufunguka mengi kuhusiana na matatizo katika ndoa yake wiki hii, ameweka wazi kuwa shughuli zake za muziki bado zinaendelea huku akiwa na albam mpya kabisa...
View ArticleVazi la Lulu Michael Lawatesa Wanaume Wapenda Sketi
Vazi alilokuwa amevaa Lulu Michael katika fainali za Shindano la TMT lilizua balaa kubwa kwa wanaume wapenda sketi baada ya vazi hilo kuanika hadharani maungo nyeti ya msanii...
View Article