Watu wanaosadikiwa kuwa majambazi wamemteka na kumvamia mwalimu mmoja na kumpora kiasi cha zaidi ya Sh milioni 20 na kisha kumbaka mwalimu mwingine wa kike katika kijiji cha Nassa Ginery wilayani Busega mkoani Simiyu.
Kwa mujibu wa Jeshi la Polisi katika mkoa wa Simiyu, tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia juzi kijijini hapo.
Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai mkoani Simiyu,
↧