Wakati Rais Jakaya Kikwete akikutana na viongozi wa vyama vya
siasa vinavyounda Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) ili kuzungumzia
mchakato wa Katiba, Jukwaa la Wakristo Tanzania (TCF), limesema amani ya
nchi iko mikononi mwa kiongozi huyo mkuu wa nchi.
Kwa maana hiyo viongozi wa vyama vya siasa hasa
vile vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wanatarajiwa
kusafiri hadi
↧