WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda jana alilazimika kutumia mlango wa uani kuondokea badala ya ule mkuu
kwa kile kinachohisiwa kuwakwepa waandishi wa habari waliokuwa
wakifuatilia ufunguzi wa mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje na
mazingira kutoka nchi za Afrika.
Pinda ambaye alikuwa akifungua mkutano huo, aliondoka mara tu baada
ya kumaliza shughuli iliyompeleka huku akiacha kushiriki tukio
↧