WAKATI joto la uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 likiendelea kupanda
miongoni mwa makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaohusishwa na
harakati za kuwania urais, mmoja wa makada hao amekwenda Vatican kwa nia
ya kutafuta uungwaji mkono wa Kanisa Katoliki duniani.
Habari za uhakika kutoka katika chanzo cha karibu na kada huyo ambaye
pia ni waziri kwenye moja ya wizara nyeti nchini, kimedai
↧