Mashindano ya serengeti Super Nyota Divaz ambayo ni sehemu ya wasanii
wachanga au vipaji vipya kuonekana kwa mikoani hasa upande wa wakina
dada ambao wamekua wakiikosa fursa ya kuonekana yamemalizika kwa Moshi.
Mkoa wa Kilimanjaro,Manispaa ya Moshi imewakilishwa na msichana
ambaye ana Rap,inaweza kuwa kwa sababu utamaduni wa Kaskazini ni hip hop
lakini huyu ameonyesha kuipenda sana
↧