Mwimbaji wa Bongo Flava, Nuh Mziwanda aliwashitua wengi baada ya
kujichora tattoo yenye jina la mpenzi wake ‘Shilole’, tattoo ambayo
haifutiki daima. Kitu ambacho kiliwashitua wengi.
“Mimi nimefanya hivi kwa kupenda kwangu, sijalazimishwa na mtu.
Nimejisikia kufanya hivi kwa sababu nampenda sana Shilole…tukiachana
basi lakini mimi nitabaki nayo hadi nitakapoenda kaburini.” Alisema
↧