Staa wa sinema za Kibongo, Aunt
Ezekiel Grayson amemvaa prizenta wa Kipindi cha Ala za Roho cha Redio
Clouds FM, Lovennes Malinzi ‘Diva’ kwa madai kwamba amemtangaza
mitandaoni kuwa amepachikwa ujauzito na mume wa mtu ambaye ni densa wa
Nasibu Abdul ‘Diamond’, Moses Peter ‘Moze Iyobo’, jambo ambalo ni uongo.
Akizungumza kwa masikitiko ya hali ya juu, Aunt alisema kuwa
hakutegemea mtu
↧