Rais Jakaya Kikwete amewaonya viongozi wa ngazi mbalimbali nchini, wakiwemo wa Halmashauri kuacha mara moja tabia ya kujigeuza kuwa madalali wa kuuza mapori ya ardhi, bali wazingatie suala la umuhimu wa kuweka akiba kwa ajili ya vizazi vijavyo.
Pia amewataka viongozi wa Halmashauri hizo za wilaya nchini kuweka utaratibu wa kupima viwanja kwa ajili ya ujenzi wa viwanda, na kuacha
↧