Rais Jakaya Kikwete amesema dhamira ya Serikali ni kuinua maisha ya Watanzania na dhamira hiyo iko pale pale na kwamba wanaofikiri nia hiyo ni kuwajaza wao fedha mifukoni uwezo huo haupo.
Rais alitoa kauli hiyo jana katika Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma wakati akizindua ujenzi wa barabara ya Mbande hadi Kongwa, itakayojengwa kwa kiwango cha lami.
Alisema dhamira ya Serikali ya
↧