Staa wa Filamu za Kibongo aliyeamua kumpokea Yesu, Ruth Suka 'Mainda' amesema amekuwa akipata wakati mgumu kumjua mwanaume wa kweli ni yupi ambaye anaweza kumuoa na ndoa yake ikawa na raha badala ya majuto kama ilivyo kwa baadhi ya wasanii wenzake....
Mainda alisema hakuna kipindi kigumu kama kujua yupi ni mwanaume sahihi wa kumuoa na
↧