SIKU chache baada ya kupata uraia wa Afrika Kusini,
uchumba wa Video Queen, Agnes Gerald ‘Masogange’ na mpenzi wake, Louis
Dolnard umetibuliwa.
Hali hiyo ilijiri kutokana na madai kuwa kuna wanaume wamepeleka
maneno ya kimbeya kwa mpenzi wake huyo yakiashiria kuwa mrembo huyo
hajatulia.
Hata hivyo, Agnes amefunguka kuwa kamwe hawezi kuachana na mchumba wake huyo.
“Wanaume
↧