Msanii wa muziki Florah Mbasha, Baada ya kufunguka mengi kuhusiana na
matatizo katika ndoa yake wiki hii, ameweka wazi kuwa shughuli zake za
muziki bado zinaendelea huku akiwa na albam mpya kabisa kwaajili ya
wapenzi wa sanaa yake.
Frorah
Mbasha amesema kuwa, anamshukuru Mungu kwa kufanikisha kutoa albam mpya
inayokwenda kwa jina Nipe Nguvu ya Kushinda, kazi ambayo tayari jamii
↧