Quantcast
Channel: MPEKUZI
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live

Freeman Mbowe apata ‘mbabe’ mwenzake nafasi ya uenyekiti CHADEMA...

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Tabora, Kansa Mbarouk amejitokeza ‘kupimana kifua’ na Mwenyekiti wa chama hicho taifa, Freeman Mbowe katika uchaguzi wa ndani unaotarajiwa kufanyika Septemba...

View Article


Mfanyabiashara afia GESTI Jijini Arusha

Mfanyabiashara maarufu jijini Arusha, Olais Metili mkazi wa Uzunguni jijini Arusha, amefariki dunia katika nyumba ya kulala wageni ya Hoteli Diamond Motel iliyopo eneo la Sakina jijini hapa.    Mwili...

View Article


Tatizo la mwanaume kupoteza au kukosa korodani

Ni tatizo au ugonjwa unaoweza kumpata mwanaume yeyote lakini zaidi kwa watoto wa kiume, hali hii inatokana na mtoto wa kiume kuzaliwa bila kuwa na korodani na hivyo mifuko ya korodani japo ipo lakini...

View Article

Rais Kikwete akataa wanafunzi kugeuzwa ‘matrekta’

RAIS Jakaya Kikwete ametaka kuondolewa kwa mpango wa kuwalimisha wanafunzi ili waweze kupata chakula wakiwa shuleni kwani dhamana ya kumlisha mtoto ni ya mzazi na mtoto hatakiwi kujilisha mwenyewe....

View Article

Serengeti Fiesta Moshi ilikuwa ni Balaaaaaa......Bofya hapa ujionee

MAPEMA saa za jioni, makundi ya wakazi wa Moshi yalimiminika kwenye Uwanja wa Majengo kwenda kushuhudia tukio lililokuwa likisubiriwa kwa hamu kubwa, onyesho la Serengeti Fiesta. Kwa kuwa hata mwaka...

View Article


Gari lateketea kwa moto mkoani Morogoro

GARI dogo ambalo halikupatikana namba zake limeteketea kwa moto leo maeneo ya Msamvu mkoani Morogoro. Mpaka mpigapicha hizi akiondoka eneo la tukio, chanzo cha moto huo kilikuwa bado hakijafahamika.  

View Article

Lady Jaydee ajibu habari ya gazeti la udaku kuwa na uhusiano na ‘Dogo Dogo’

Lady Jaydee ameamua kujibu habari iliyoandikwa kwenye gazeti la udaku la Risasi kuhusu kuwa na uhusiano na aliyewahi kuwa mtuma salamu maarufu kwenye redio, Meddy Ahmed aka ‘Mtoto wa Vitoto’. Kwenye...

View Article

Rais Kikwete Akutana na Wajumbe wa kituo cha Demokrasia Tanzania ( TCD)

Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) Mhe John Cheyo akiongea na Makamu Mwenyekiti wa TCD Mhe Philip Mangula, Katibu Mkuu wa CCM Ndg. ABdulrahman Kinana na Mhe Isack Cheyo walipowasili...

View Article


Je, unasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume?? Unataka kuimarisha mishipa...

Neema  Herbalist  & Nutritional  Foods  Clinic  ni  wauzaji wa dawa  mbalimbali  za  asili. Tunapenda  kuwatangazia  wateja  wetu  kuwa  tunayo  dawa nzuri  ya  asili  inatibu na  kuponyesha...

View Article


Upepo umegeuka: Kajala kumwajiri Wema Sepetu

AMA kweli fedha mwanaharamu! Kama bado ulikuwa ukiamini kwamba Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu anayependelea kuitwa Madam ana mtonyo (fedha) kumzidi aliyekuwa shosti wake, mwigizaji Kajala...

View Article

Mwafaka wa Katiba Waja.....Mkutano wa Rais Kikwete na Vyama vya Siasa Wazaa...

MKUTANO wa Rais Jakaya Kikwete na viongozi wa juu wa vyama vya siasa uliofanyika jana mjini Dodoma umetajwa kuwa na dalili nzuri zinazoashiria mwafaka utapatikana juu ya mchakato wa utengenezaji...

View Article

Waraka wa makanisa kusambazwa hadi jumuiya

Waraka uliotolewa juzi na Jukwaa la Wakristo Tanzania wakitaka mchakato wa Katiba Mpya usitishwe, jana ulisomwa katika baadhi ya makanisa na sasa utasambazwa katika jumuiya ndogo za Kanisa Katoliki....

View Article

Polisi Ujerumani Wamuokoa Diamond kutoka kwa Mashabiki wenye hasira kali

Usiku wa Jumamosi ya Tarehe  30.Augost 2014, majira ya saa 10 alfajiri, Mwanamuziki nyota wa Bongo Flava Nasib Abdul 'Diamond Platnumz' alijikuta katika hali ya hatari hadi kuokolewa na Polisi mjini...

View Article


Shilole akiri kutotumia Condom kwenye mapenzi

Mwigizaji  wa  filamu  na  mwanamuziki  wa  miondoko    ya  kizazi  kipya, Zuwena  Mohammed  'Sholole'  amesema  kuwa  matumizi  ya  kondom  wakati  wa  mahaba  hayaleti  ladha  ndio  maana...

View Article

Martin Kadinda: Wema Sepetu Hana Pesa Ya Kunilipa, Nahangaika Ili Tusilale Njaa

Martin Kadinda ambaye ni meneja wa Wema Sepetu ameibuka na kusema kuwa Wema Sepetu aliyekuwa akimwaga pesa vilivyo kwasasa hana pesa ya kumlipa bali yeye Martin anahangaika kwa issue zake binafsi ili...

View Article


Ujerumani yajitosa Katiba mpya

UBALOZI wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani nchini umejitosa katika mjadala wa Bunge la Katiba mpya linaloendelea na vikao vyake mjini Dodoma.   Pamoja na hali hiyo, Ujerumani imekanusha kuhusika...

View Article

Mrema amwomba Rais Kikwete amfukuze Mbatia ubunge

MBUNGE wa Vunjo, Augustine Mrema (TLP), amemwomba Rais Jakaya Kikwete amnyang’anye ubunge Mbunge wa Kuteuliwa, James Mbatia.   Mrema alitoa ombi hilo juzi mjini Dodoma, alipokuwa akizungumza katika...

View Article


Mawakala wa makomandoo wa Nepal waliotua nchini kinyemela na kujifanya...

MKURUGENZI wa Kampuni ya Ulinzi ya Advanced Limited, Juma Ntinginya (47) na wenzake wawili, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za kuwahifadhi raia wa Nepal.   Washtakiwa...

View Article

Mjane Alipuliwa kwa Petrol usiku akiwa amelala....Kitendo cha mama huyo...

MAMA mmoja mjane, Mwajuma Hamisi Lissu (42) ameteketea kwa moto baada ya nyumba aliyokuwa amelala eneo la Kibamba Hondogo A maarufu Miti Mirefu jijini Dar es Salaam, kulipuliwa kwa petroli usiku wa...

View Article

Sheikh Ponda aiangukia mahakama....Aiomba itumie busara kusimamisha kesi ya...

KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, ameiangukia Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kwa kuiomba itumie busara kusimamisha kesi ya uchochezi inayomkabili mkoani...

View Article
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live