Mfanyabiashara maarufu jijini Arusha, Olais Metili mkazi wa
Uzunguni jijini Arusha, amefariki dunia katika nyumba ya kulala wageni ya
Hoteli Diamond Motel iliyopo eneo la Sakina jijini hapa.
Mwili wa mfanyabishara huyo anayemiliki mali
mbalimbali ikiwamo mgahawa wa Bite Bite na duka maarufu la vinyago eneo
la Kisongo uligundulika jana saa 7:00 mchana, wakati wahudumu wa hoteli
hiyo
↧