Ni tatizo au ugonjwa unaoweza kumpata mwanaume yeyote lakini
zaidi kwa watoto wa kiume, hali hii inatokana na mtoto wa kiume kuzaliwa
bila kuwa na korodani na hivyo mifuko ya korodani japo ipo lakini
mitupu, au kuzaliwa na korodani lakini baadae zikapotea ghafla ukubwani.
Kupotea au kutokuwepo kwa korodani kunaweza
kuhusisha korodani zotembili au moja, ni tatizo linalotokea kwa mtoto
↧