Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Tabora, Kansa Mbarouk
amejitokeza ‘kupimana kifua’ na Mwenyekiti wa chama hicho taifa, Freeman
Mbowe katika uchaguzi wa ndani unaotarajiwa kufanyika Septemba 14.
Mbarouk alirejesha fomu hizo makao makuu ya
Chadema jana mchana huku akikumbana na kizingiti cha kuzuiwa na walinzi
kuingia ndani kurejesha fomu akiwa pamoja na waandishi wa habari na
↧
Freeman Mbowe apata ‘mbabe’ mwenzake nafasi ya uenyekiti CHADEMA Taifa......Chadema Wadai ni Msaliti
↧