MBUNGE wa Vunjo, Augustine Mrema (TLP), amemwomba Rais Jakaya Kikwete amnyang’anye ubunge Mbunge wa Kuteuliwa, James Mbatia.
Mrema alitoa ombi hilo juzi mjini Dodoma, alipokuwa akizungumza katika
kikao kilichowakutanisha wanachama wa Kituo cha Demokrasia Tanzania
(TCD) na Rais Kikwete kwa ajili ya kutafuta mwafaka wa Bunge Maalumu la
Katiba.
Chanzo chetu cha habari kilichokuwa
↧