UBALOZI wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani nchini umejitosa katika
mjadala wa Bunge la Katiba mpya linaloendelea na vikao vyake mjini
Dodoma.
Pamoja na hali hiyo, Ujerumani imekanusha kuhusika kusaidia kikundi
chochote nchini kinachojihusisha na masuala ya siasa, ikiwamo suala la
Katiba.
Tamko kwa vyombo vya habari lililotolewa jana na Ofisa Mawasiliano wa
Ubalozi wa Ujerumani
↧