Martin Kadinda ambaye ni meneja wa Wema Sepetu ameibuka na kusema kuwa
Wema Sepetu aliyekuwa akimwaga pesa vilivyo kwasasa hana pesa ya kumlipa
bali yeye Martin anahangaika kwa issue zake binafsi ili wasilale njaa...
Kadina amesema kuwa yeye na Wema hawana mkataba wa kulipana bali wapo
kishkaji zaidi.
"Wema hana pesa ya kunilipa mimi, ninachokifanya ni kuhangaika kutafuta deals
↧