Mwigizaji wa filamu na mwanamuziki wa miondoko ya kizazi kipya, Zuwena Mohammed 'Sholole' amesema kuwa matumizi ya kondom wakati wa mahaba hayaleti ladha ndio maana alilazimika kwenda kupima ngoma na mpenzi wake Nuh Mziwanda ili wasiwe wanatumia kondom.
Akizungumza na Mpekuzi wetu, Shilole alisema kuwa raha ya mapenzi ni kila mmoja kuwa
↧