Usiku wa Jumamosi ya Tarehe 30.Augost 2014, majira ya saa 10 alfajiri, Mwanamuziki
nyota wa Bongo Flava Nasib Abdul 'Diamond Platnumz' alijikuta katika
hali ya hatari hadi kuokolewa na Polisi mjini Stuttgart, Ujerumani,
baada ya washabiki waliokuwa na hasira kuchoka kusubiri show.
Washabiki hao waliokuwa wamelipa ticket euro 25 kwa kiingilio
waliahidiwa kuwa show ingeanza saa 4.00
↧