Waraka uliotolewa juzi na Jukwaa la Wakristo Tanzania wakitaka
mchakato wa Katiba Mpya usitishwe, jana ulisomwa katika baadhi ya
makanisa na sasa utasambazwa katika jumuiya ndogo za Kanisa Katoliki.
Akizungumzia waraka huo katika Ibada ya Jumapili,
Paroko wa Parokia ya Mkwawa ya Kanisa Katoliki Jimbo la Iringa, Padri
Oscar Rutechura alisema amechukua uamuzi huo ili kuwawezesha
↧