MKURUGENZI wa Kampuni ya Ulinzi ya Advanced Limited, Juma Ntinginya
(47) na wenzake wawili, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi
Kisutu kwa tuhuma za kuwahifadhi raia wa Nepal.
Washtakiwa hao walipanda kizimbani jana mbele ya Hakimu Mkazi,
Devotha Kisoka na kusomewa mashtaka na Wakili wa Serikali kutoka Idara
ya Uhamiaji, Patrick Ngayomela.
Ngayomela alidai washtakiwa
↧
Mawakala wa makomandoo wa Nepal waliotua nchini kinyemela na kujifanya 'Walinzi' wapandishwa kortini
↧