MAMA mmoja mjane, Mwajuma
Hamisi Lissu (42) ameteketea kwa moto baada ya nyumba aliyokuwa amelala
eneo la Kibamba Hondogo A maarufu Miti Mirefu jijini Dar es Salaam,
kulipuliwa kwa petroli usiku wa Agosti 24, mwaka huu.
Tukio hilo la kusikitisha inadaiwa
linahusishwa na ugomvi baada ya mama huyo kuachana na ulokole na
kujiunga tena katika dini yake ya zamani ya
↧