KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa
Ponda, ameiangukia Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kwa kuiomba
itumie busara kusimamisha kesi ya uchochezi inayomkabili mkoani
Morogoro.
Maombi hayo yaliyokwama mara kadhaa kutokana na sababu za kisheria,
yaliwasilishwa jana kupitia wakili wake, Juma Nassoro, wakati rufaa yake
ya kupinga hukumu ya Mahakama ya
↧
Sheikh Ponda aiangukia mahakama....Aiomba itumie busara kusimamisha kesi ya uchochezi inayomkabili
↧