AMA kweli fedha mwanaharamu! Kama bado ulikuwa
ukiamini kwamba Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu anayependelea
kuitwa Madam ana mtonyo (fedha) kumzidi aliyekuwa shosti wake, mwigizaji
Kajala Masanja ‘Kay’, umekosea sana kwani upepo umegeuka.
Habari za ‘ufukunyuku’ zinadai kwamba, kwa utajiri
alionao kwa sasa, Kajala anaweza kudiriki kumwajiri Wema kama kisemavyo
chanzo.
↧