Mwenyekiti wa Kituo
cha Demokrasia Tanzania (TCD) Mhe John Cheyo akiongea na Makamu
Mwenyekiti wa TCD Mhe Philip Mangula, Katibu Mkuu wa CCM Ndg.
ABdulrahman Kinana na Mhe Isack Cheyo walipowasili Ikulu ndogo mjini
Dodoma kukutana na Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo. Nyuma yao ni
Mwenyekiti wa TLP Mhe Augustine Lyatonga Mrema na Mwenyekiti wa UPDP Mhe
Fahmi Dovutwa leo.TCD inaundwa na
↧