GARI dogo ambalo halikupatikana namba zake limeteketea kwa moto leo
maeneo ya Msamvu mkoani Morogoro. Mpaka mpigapicha hizi akiondoka eneo
la tukio, chanzo cha moto huo kilikuwa bado hakijafahamika.
↧