Baba yake Beyonce Knowles, Mzee Mattew Knowles amefichua siri ya kuwepo
ripoti kuwa mwanae anataka kuachana na Jay Z huku akigusia pia kuhusu
kilichosababisha ugonvi kati ya Solange na Jay ndani ya lift.
Katika mahojiano aliyofanya na Roula &Ryan Show wiki hii, Mzee
Mattew alieleza kuwa anachofahamu ni kwamba tetesi hizo za talaka
ilikuwa mbinu ya kuuzia tiketi zaidi za tour yao.
↧