Serikali ya Tanzania imewataka waombaji wa kazi kuzingatia taratibu
zinazotakiwa katika kuwasilisha maombi ili kuepuka usumbufu unaoweza
kujitokeza kutokana na kuwepo wa tatizo la kuwasilisha nyaraka pungufu.
Akizungumza
Jijini Dar es Salaam Msemaji wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi
wa Umma, Riziki Abraham amesema kumekuwepo na kutokufuata taratibu kwa
waombaji wa kazi
↧