Utata umegubika kifo cha Bertha Boniface (25) ambaye amefia
Hospitali ya Wilaya Geita, kutokana na uvumi kuwa kifo chake kinatokana
na ugonjwa wa ebola. Hata hivyo, madai hayo yamekanushwa na uongozi wa
wilaya hiyo.
Viongozi hao wamedai hakuna mgonjwa aliyekufa kwa
maradhi hayo na wala ugonjwa huo haupo. Umesema Bertha alikuwa akihisiwa
kuwa na dalili za ebola.
Akizungumzia
↧