Mtu mmoja ambaye inadaiwa kinara wa kuua na kujeruhi wanawake maarufu, wafanyabiashara na wenye vyeo katika ofisi mbalimbali jijini Arusha, Adamu Mussa (30) mkazi wa Majengo Juu jijini Arusha ametiwa mbaroni.
Mtuhumiwa huyo ametiwa mbaroni juzi usiku na polisi na alipopekuliwa nyumbani kwake alikutwa na bastola mbili na risasi saba na amekiri kuhusika katika mauaji na kujeruhi wanawake
↧