Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Airtel Tanzania, Sunil Colaso
amejimwagia maji ya barafu kuashiria kampuni yake kujiunga na kampeni
iliyoanzishwa na Vodacom kuchangia matibabu na elimu kuhusu ugonjwa wa
Fistula unaowapata akina mama wajawazito zaidi ya 30,000 nchini.
Airtel Tanzania wamepost picha kwenye ukurasa wao wa Instagram na
video katika channel yao ya YouTube ikimuonesha
↧